Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 432
Wana JF;
Kuna taarifa nimemegewa na jamaa wa ndani kabisa na UDOM, na pia anaijua issue yote toka Serikalini kuwa kuna Fungu kubwa la hela lililotolewa na Mwarabu ili kuiimarishwa UDOM kwa kuipiga tafu serikali ya CCM ili itumike kama mafanikio kielimu, ili izidi kuimarika na kupendwa, ila wao wakalifanyia uchakachuaji? Kweli kumbe sikio la kufa halina cha dawa. (Tutakumbuka kuwa UDOM haikuwa Sera ya CCM, bali hii ilikuwa Sera ya CDM, kubadili majengo yale kuwa Chuo Kikuu, ikatekwa na wahuni, CCM ili kujipatia kujitafutia kura).
Fununu za ndani kabisa ya UDOM zinapasha kuwa, fungu alilotoa Mwarabu pamoja na majukumu mengine, ilikuwa pia kuwalipa wanafunzi mahitaji yao ilkiwa ni pamoja na hela za kujikimu, ambazo ndizo jamaa wanaohusika na Uhasibu UDOM wamekula bila kusaza. Mwarabu inasemekana amegoma kuendelea kutoa tena fungu, ndio pakacha limepasuka!
Kuna fununu kuwa hata PM Pinda alilijua hili toka kipindi ila amewaendea Wana-UDOM kidiplomasia kuyeyusha hali isizidi kuwa tete, na ndipo akaamua kuwa-ghilibu kuwa AG (Mkaguzi Mkuu wa Serikali), atakwenda kufanyia Audit matumizi hayo. "Nakuambia, Jamaa (PM) anajua kila kitu, na hata JK mwenyewe anajua moto uliopo hapa, ndio maana hakukanyaga yeye, na inasemekana Mwarabu mwenyewe amegoma kutoa tena hela ndio maana ngoma imebuma" ..."Unaambiwa pia issue za Kidini zimetawala, Waheshimiwa wa juu jaribu, uwafikirie mtizamo wao utanikubali, kwa taarifa yako, kuna kanuni pale kuwa Wafanyakazi wengine hakuna kuvaa na Vimini, lazima kuishi kiislam, fuatilia utanielewa nachokisema!" jamaa alisisitiza kuonyesha kuwa anamaanisha usahihi wa alokuwa akiyasema.
My Take:
Hii ni hali inayohitaji kuangaliwa sana! Hiki hakitakuwa chuo cha Umma!
Tunaomba ndani ya Jamvi, tunao wanataaluma wa habari weledi wa kufuatilia mambo na syndicates, zilizowekwa kinyumenyume kama hizi, walianzie kazi waje watujuze zaidi.
Naomba kuwasilisha!!