Kumbe ukifunga mchana hutakiwi kufanya mapenzi na mkeo, na ikitokea unatakiwa kusaidia masikini 60 ama KUFUNGA siku 60

Kumbe ukifunga mchana hutakiwi kufanya mapenzi na mkeo, na ikitokea unatakiwa kusaidia masikini 60 ama KUFUNGA siku 60

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hahahahaa NIMEIPENDA SANA hii dini

Nasikilizia channel ten mambo yetu ya kufungaaa

ANASEMA sheikh wangu kama ikitokea una hamu yoyote na mkeo KIPINDI hiki cha mfungo

Ikitokea ukampitia mchana

Basi kulipixa Ile unatakiwa ufunge siku sitini ama ukasaidie wenye shida sitini ndio unasemehewa ukichokifanya

Kwa kweli kwangu hili

NINGEKUWA na
60*10
Kwenye hizo siku thelathini

YAAN hao wenye shida wangenijua gafla maana doh m mchana kabisaa Niko na mwenzangu zinipande mchana nikuache thubuutuu
 
Duh aiseee
Mkuu haya mawaidha ntaanza kuyasikiliza mazuri sanaa hio sheria Allah Asaidie isije kwa wakristo uwiii wanavyopenda papuchii umwambie mchana wasiguse uwiii
 
Hahahahaa NIMEIPENDA SANA hii dini

Nasikilizia channel ten mambo yetu ya kufungaaa

ANASEMA sheikh wangu kama ikitokea una hamu yoyote na mkeo KIPINDI hiki cha mfungo

Ikitokea ukampitia mchana

Basi kulipixa Ile unatakiwa ufunge siku sitini ama ukasaidie wenye shida sitini ndio unasemehewa ukichokifanya

Kwa kweli kwangu hili

NINGEKUWA na
60*10
Kwenye hizo siku thelathini

YAAN hao wenye shida wangenijua gafla maana doh m mchana kabisaa Niko na mwenzangu zinipande mchana nikuache thubuutuu
Kama mtu anafunga seriously hayo matamanio automatically yanapotea

Hata njaa na kiu huwa inakuwa ya kistaarabu

Mtu akiwa hajafunga ikifika saa 6 mchana anaweza kuwa hoi ila akifunga inakuwa kawaida tu unless mtu awe anafanya kazi ngumu
 
Naomba kuuliza sio Kwa ubaya ila watu tumeanza kufunga miaka na miaka inakuaje watu bado wanashangaa Sheria zake Leo kwel mtu anashangaa hairuhusiwi kuzini mchana wa mfungo seriously???
 
Back
Top Bottom