GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
61.17 Ushindi wa TSUMANI! You looser dare to call it that. Hakuna aibu ka ya mwaka huu. Unasonga mbele wewe ama warudi kinyumenyume? Nasikia mmechakachua hata wale mgambo wenu pale uwanjani na wana ugonjwa ka wa kiongozi wenu. Usiniulize ugonjwa gani si mnaujuaa!
ushindi wa kuiba kura za slaa,ushindi wa kuingia madarakani kutafuna mali ya uamma
Awamu iliyopita alikuwa na wabunge zaidi ya 200! Lakini baraza la mawaziri alilochagua wote tuliliona wewe mwenyewe shahidi, lilijaa vituka, kashfa, ufisadi na kila aina ya matatizo. Kama tunaweza kupata watu makini wa kuiongoza Tanzania awamu hii itakuwa ni neema ya Mungu na wala usihusishe suala hilo na ushindi unaouita wa 'kishindo' (61.17%) wakati hata Kinana aliamua kuuita 'ushindi mzuri' maana walitegemea ushindi wa >85.26%...Baada ya Hitimisho la leo la kuapishwa kwa Rais aliyeshinda kwenye uchaguzi Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE ( Japokuwa mgombea wa Cahama fulani hakutokea eti amesusa, ila wenzake wala yeye akisusa) , kinacho fuatia sasa ni kuchagua baraza makini la mawaziri. Na kwa vile mpaka sasa CCM ina jumla ya wabunge 186 wa kuchaguliwa ( ukiacha wale wa viti maalum) itakuwa na hazina kubwa ya kuchagua baraza bora. Tunamuombea Rais wetu afya njema aweze kulitumikia Taifa, kwani ridhaa aliyopewa na watanzania ya ushindi wa kishindo wa 61.17% (wengine wanauita USHINDI WA SUNAMI). Uchaguzi umekwisha, tusonge mbele na tugange yajayo.
the losers forever,ila mwisho wao upo we waache wajishaue na ivo vijikura vya kuchakachua vitawatokea puani
Awamu iliyopita alikuwa na wabunge zaidi ya 200! Lakini baraza la mawaziri alilochagua wote tuliliona wewe mwenyewe shahidi, lilijaa vituka, kashfa, ufisadi na kila aina ya matatizo. Kama tunaweza kupata watu makini wa kuiongoza Tanzania awamu hii itakuwa ni neema ya Mungu na wala usihusishe suala hilo na ushindi unaouita wa 'kishindo' (61.17%) wakati hata Kinana aliamua kuuita 'ushindi mzuri' maana walitegemea ushindi wa >85.26%...
Tumwombe Mungu atusaidie!
Baada ya Hitimisho la leo la kuapishwa kwa Rais aliyeshinda kwenye uchaguzi Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE ( Japokuwa mgombea wa Cahama fulani hakutokea eti amesusa, ila wenzake wala yeye akisusa) , kinacho fuatia sasa ni kuchagua baraza makini la mawaziri. Na kwa vile mpaka sasa CCM ina jumla ya wabunge 186 wa kuchaguliwa ( ukiacha wale wa viti maalum) itakuwa na hazina kubwa ya kuchagua baraza bora. Tunamuombea Rais wetu afya njema aweze kulitumikia Taifa, kwani ridhaa aliyopewa na watanzania ya ushindi wa kishindo wa 61.17% (wengine wanauita USHINDI WA SUNAMI). Uchaguzi umekwisha, tusonge mbele na tugange yajayo.

Kama 61 ni ushindi wa TSUNAMI then ule wa 80% 2005 utaitwaje?
Makamba ana mengi ya kujibu mwaka huu na kashfa zake za wapinzani has Dr kumwita santuri mpya
Yeye mwenyewe JK kwenye hotuba yake leo amewapongeza wananchi kwa kumpa USHINDI WA KISHINDO, au hukuisikia mzee?. Na anasema leo ni rasha rasha tu hotuba kamili ni siku atakapo lifungua bunge.
wala siyo wa kishindo kwa taarifa yako imani ya wananchi kwake imepugua toka 80% mpaka 61%. watu hatuna imani naye kama 2005.Baada ya Hitimisho la leo la kuapishwa kwa Rais aliyeshinda kwenye uchaguzi Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE ( Japokuwa mgombea wa Cahama fulani hakutokea eti amesusa, ila wenzake wala yeye akisusa) , kinacho fuatia sasa ni kuchagua baraza makini la mawaziri. Na kwa vile mpaka sasa CCM ina jumla ya wabunge 186 wa kuchaguliwa ( ukiacha wale wa viti maalum) itakuwa na hazina kubwa ya kuchagua baraza bora. Tunamuombea Rais wetu afya njema aweze kulitumikia Taifa, kwani ridhaa aliyopewa na watanzania ya ushindi wa kishindo wa 61.17% (wengine wanauita USHINDI WA SUNAMI). Uchaguzi umekwisha, tusonge mbele na tugange yajayo.