Kumbe umeitwa kutolewa uchafu masikioni ili usikie

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sababu ya kiburi chako kuona unaweza.

Sasa uliposikia USA wamekunyima vijiela ulivyosema uvitaki wakapewa wengine juzi.

Wamekuita kukusalimia ikulu ukapigwa za uso maana unatakiwa ukubali maandamano la sivyo unakwenda shimoni.

Jambo lengine alilojitetea kuwa anataka kukaa na chadema mezani wakubari serikali ya mseto.

kitu ambacho kwa hii safu ya CHADEMA ni ngumu.

Hii picha waliopiga ikulu mjaona kama kapigwa na homa.
 
Who are you anawakaribisha ikulu si angekataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…