Watu wengi hatujui hili, vituo vingi vya CTC hutumia rapid test kugundua kama mtu ana maambukizi ya VVU, vipimo hivi huwezi kuonyesha uwepo wa VVU mwilini kuaniza siku 21 hadi siku 84 . Na vipimo hivi hugundua 95% ya maambukizi baada ya siku 28, na ni 5% huchukua hadi siku 84. (Kwa mujibu wa CDC)
Sasa iwapo mtu amepata maambukizi ndani ya siku chache kiasi kuwa mwili haujaanza kuzalisha "detectable antibody" vipimo hivi vitatoa false negative. Kipindi hicho cha UKIMWI moto (Acute HIV) rate ya maambukizi huwa ni wa kiwango cha juu mno.
Hivyo ili kujiridhisha kuwa mu salama ni muhimu katika mahusiano ya awali kurudia kupima baada ya miezi mitatu ndipo muanze kugegedana kavu kavu na sio kipimo cha mara moja tu.