D deblabant JF-Expert Member Joined Oct 7, 2022 Posts 2,650 Reaction score 4,065 Jul 29, 2024 #1 Nasikia watu wanasema kuw mwabukusi atakuwa moto as of TLS siyo taasisi bali mtu mmoja anaweza kuidrive tu akijisikia. Sasa kama.wana sheria ni madictator tutakimbilia wapi
Nasikia watu wanasema kuw mwabukusi atakuwa moto as of TLS siyo taasisi bali mtu mmoja anaweza kuidrive tu akijisikia. Sasa kama.wana sheria ni madictator tutakimbilia wapi