Wakuu hiyo ni habari nzuri tukiiangalia kwa jicho la importers (Na bahati mbaya hapa wengi tunafikiria kuwa vitu tunavyoagiza mfano magari,vipuri n.k vitashuka bei kitu ambacho sio kweli kwani kama hazitengenezi Marekani basi zitapandishwa bei kufidia exchange rate loss!!!!!) Lakini kama tutaiangalia kwa jicho la exporters itamaanisha bidhaa zetu zitakuwa bei juu nje ya nchi kama tutaziuza kwa dollar Ila vilevile tusisahau kuwa wamarekani wana ona ufahari kwa hela yao kuwa hela yenye nguvu duniani inayotumika takribani duniani kote sidhani kama wataishusha thamani sana hadi kupoteza umaarufu wake na umuhimu wake so Time will tell Wakuu