Kumbe USA kama bongo tu, nilikua naogoopa

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje Wazeiyaaaah...
Mko Bwaxx....

Ebana katika majukum yetu haya ya ukandarasi nikajikuta (nikabahatika) majuz kufika USA.
Nisiwe na porojo sana, ni kwamba the way nilivokua napackia palivo, maisha na kila kitu ni tofauti kabisa na nilivokuta.
yan hakuna toafuti na bongo.

Cku ya kwanza tu nafika nikashangaa mbona watu weusi ndio wengi huku???
Mbona wanaongea Kiswahili kama bongo tuu??

kama haitoshi hadi fedha wanayotumia ni Tanzanian Shillings.
Sio hivo tu, hadi bangi, mateja na miziki inayopigwa kwa radio statios na night clubs ni kama bongo tuuu

Yaani kifupi USA hakuna tofauti na bongo.
Kidoogo labda ka ubaridi kule kamezidi.

Sasa KILICHONIACHA HOI kabisa mpaka nikaamua kutype haya maneno ni kuwa:
Mpaka bank ya NMB ina tawi lake liko USA bana huwez amini.

Mimi nilidhani "USA River" ni pakishuua kumbe kama bongo Dar es salaam tuu.

I am out.

#Chief Eng.

....
 
Tukiwa hapo USA tulikuwa tunakula nyama choma kwa Donii..(sijui bado yupo). Tukiwa Dar tunakula mdudu mpakani kwa mama Kamche[emoji2]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12] bola ata mlivyo nisaidia
 
ah.. we jmaa kwel n chief engineer!!
 
Hahahahahahahah mkuu umehitimisha siku yngu vyema..Nzeyiaaaaa
 
sizani kama kuna injinia anaweza kuandika kitu kama hiki!! UNATUDHALILISHA MA INJINIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…