Kumbe UVCCM wana tawi hadi China? Viongozi wake wakutana na Rais Hussein Mwinyi na kumpongeza kwa kazi anayoifanya!

Kumbe UVCCM wana tawi hadi China? Viongozi wake wakutana na Rais Hussein Mwinyi na kumpongeza kwa kazi anayoifanya!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kumbe CCM wana tawi hadi huko Uchina?

Leo nimeona tawi la UVCCM huko nchini China likimpongeza Rais Mwinyi kwa anayoyafanya huko Zanzibar katika utawala wake.

Soma pia: Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga

Swali langu kwa nyie wanabodi, hivi vyama vingine navyo vina matawi katika nchi nyingine?

Na hayo matawi ya vyama nchi za nje yanasaidia nini?


Source: Zanzibar Mpya
 
Sio CCM tu! Hata CHADEMA na ACT Wazalendo wana matawi Afghanistan.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom