Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 9, 2024 #1 Wakuu, Kumbe CCM wana tawi hadi huko Uchina? Leo nimeona tawi la UVCCM huko nchini China likimpongeza Rais Mwinyi kwa anayoyafanya huko Zanzibar katika utawala wake. Soma pia: Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga Swali langu kwa nyie wanabodi, hivi vyama vingine navyo vina matawi katika nchi nyingine? Na hayo matawi ya vyama nchi za nje yanasaidia nini? Your browser is not able to display this video. Source: Zanzibar Mpya
Wakuu, Kumbe CCM wana tawi hadi huko Uchina? Leo nimeona tawi la UVCCM huko nchini China likimpongeza Rais Mwinyi kwa anayoyafanya huko Zanzibar katika utawala wake. Soma pia: Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga Swali langu kwa nyie wanabodi, hivi vyama vingine navyo vina matawi katika nchi nyingine? Na hayo matawi ya vyama nchi za nje yanasaidia nini? Your browser is not able to display this video. Source: Zanzibar Mpya
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Nov 9, 2024 #2 Sio CCM tu! Hata CHADEMA na ACT Wazalendo wana matawi Afghanistan. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 9, 2024 #3 Ni utapeli tupu na kutaka teuzi