Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
SijuiMikoa yote walikuwa wanaimba hivyo ?
Muongo umedakwa pabaya.Sijui
Kwani mimi ndio nimesema haya? Acha kutumia matako kufikiriMuongo umedakwa pabaya.
Sasa kijana unanitukana mimi?Kwani mimi ndio nimesema haya? Acha kutumia matako kufikiri
Kwani mboni unanitukana nimekukosea nini?Nimekwambia acha kutumia matako kufikiria
Waliuawa wachache kwa sababu wana jeshi la wanainchi lililokataa kutii amri ya yule dikteta uchwara kibaraka wa Ufaransa.Madagascar yenyewe ni vijana 22 tu ndio waliouwawa katika maandamano ya mwezi mzima yaliyomuondoa dikteta Rajoelina.