Niliona jamaa mmoja akimwambia mkuu wa nchi dikteta uchwara wakati huo huo wao hawapendi kukejeliwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
Mbowe majuzi kati alitoa hotuba inayoitukana serikali maana alitaja neno ujinga zaidi ya Mara tano
Lakini pia hauwezi kumfunga speedgavana mtu mzima lazima wajue kuwa vyama vya siasa ni Mali ya Watanzania si Mali ya kikundi Fulani
Binafsi nimempongeza spika kwa kushindwa kuwaheshimu hawa mamluki wa Mabeberu