johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakati wa msiba wa Shujaa Magufuli baadhi ya Wapagani walishangazwa kitendo cha heshima za Mwisho Kwa jeneza kupitishwa barabara kuu
Kumbe hata Waarabu utaratibu wao ndio huo huo
Al Jazeera wameonyesha jeneza la aliyekuwa Kiongozi wa Hezbollah hayati Nasrallah likipitishwa Mitaa yote ya Beirut Lebanon Ili Wananchi watoe heshima za Mwisho
@malaria2