Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee.

Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja.

Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.

511b8ee00d049d2287890fdfcb9fe95e.jpg


f81aee4bd5ee03a46933e2cb6f804552.jpg


 
Yupo vizuri sema amezidisha uzungu na https://jamii.app/JFUserGuide https://jamii.app/JFUserGuide nyingi kama lily wayne bana aache ujinga.
 
kwenye nyimbo yao ya hola hola napenda anaposema ""niga nipe zinga la ndinga usinipe kibamia """ au kwenye one time anaposema niga usilete nyege acha mambo ya kisenge i dont need your dick i need only maiki
 
Uwezo wa kawaida mno.

Ila Team madale watatoka povu kisa baba yao Dimond kamfagilia huyo demu.
 
kazidisha Umarekani[emoji23]
ana wazazi kweli huyo demu?wakiskia hayo maneno machafu wanajiskiaje!!
 
Back
Top Bottom