GadoTz JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 370 Reaction score 636 Dec 12, 2016 #1 Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee. Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja. Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.
Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee. Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja. Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Dec 12, 2016 #2 Sipendagi watu wanaovaa lipete puani kama maksai
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,658 Reaction score 8,994 Dec 12, 2016 #3 mbona domo limepinda???au ndo mnaitwa swagaaa
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,572 Dec 12, 2016 #4 nyimbo imejaa matusi tu
Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,399 Reaction score 8,629 Dec 12, 2016 #5 Yupo vizuri sema amezidisha uzungu na https://jamii.app/JFUserGuide https://jamii.app/JFUserGuide nyingi kama lily wayne bana aache ujinga.
Yupo vizuri sema amezidisha uzungu na https://jamii.app/JFUserGuide https://jamii.app/JFUserGuide nyingi kama lily wayne bana aache ujinga.
mnyikungu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2009 Posts 1,962 Reaction score 2,477 Dec 12, 2016 #6 mmh! hiyo wapelekee huko huko.....ngumu kumeza.....anauwezo ila kaatthiriwa na tabia za wahuni wa marekani
mmh! hiyo wapelekee huko huko.....ngumu kumeza.....anauwezo ila kaatthiriwa na tabia za wahuni wa marekani
Social maniac JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 357 Reaction score 428 Dec 12, 2016 #7 Hamna kitu apo zaidi ya matusi. I would rather nimsikilize chemical au stosh kuliko huyo.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Dec 12, 2016 #8 Anazingua tu ajui chochote
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,262 Reaction score 2,184 Dec 12, 2016 #9 kwenye nyimbo yao ya hola hola napenda anaposema ""niga nipe zinga la ndinga usinipe kibamia """ au kwenye one time anaposema niga usilete nyege acha mambo ya kisenge i dont need your dick i need only maiki
kwenye nyimbo yao ya hola hola napenda anaposema ""niga nipe zinga la ndinga usinipe kibamia """ au kwenye one time anaposema niga usilete nyege acha mambo ya kisenge i dont need your dick i need only maiki
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Dec 13, 2016 #10 Uwezo wa kawaida mno. Ila Team madale watatoka povu kisa baba yao Dimond kamfagilia huyo demu.
MarkHilary JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,813 Reaction score 2,188 Dec 13, 2016 #11 Mbona anatukana sana huyu!
Tua Ngoma JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 3,185 Reaction score 8,294 Dec 13, 2016 #12 Hamna msanii hapo.female hip hop bongo ni CHEMICAL TU.
Mr Mikazo JF-Expert Member Joined May 26, 2016 Posts 1,594 Reaction score 800 Dec 13, 2016 #13 Anachana anatukana?
Msukuma wa dar JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 1,160 Reaction score 1,195 Dec 13, 2016 #15 Anacomfidence ya kuongea chochote
mimi mkali JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,794 Reaction score 1,570 Dec 13, 2016 #16 kazidisha Umarekani[emoji23] ana wazazi kweli huyo demu?wakiskia hayo maneno machafu wanajiskiaje!!
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Dec 13, 2016 #17 Chemical atasubiri Sana hapa
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Dec 13, 2016 #18 kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,518 Dec 13, 2016 #19 MarkHilary said: Mbona anatukana? Pumbavu sana huyu! Click to expand... TCRA hii makitu inawahusi. Fungia mun'ganda fasta. Naona Dangote amefurahishwa sana na hayo matusi. Watu wanataka muziki hawataki matusi!!!
MarkHilary said: Mbona anatukana? Pumbavu sana huyu! Click to expand... TCRA hii makitu inawahusi. Fungia mun'ganda fasta. Naona Dangote amefurahishwa sana na hayo matusi. Watu wanataka muziki hawataki matusi!!!
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Dec 13, 2016 #20 Mbona wimbo mzima umejaa matusi?