Kwa kuwa ni explicit version Ngoja tusubiri Clean Version.kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki
Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
Clean version ipo,cheki youtubeKwa kuwa ni explicit version Ngoja tusubiri Clean Version.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kazidisha Umarekani[emoji23]
ana wazazi kweli huyo demu?wakiskia hayo maneno machafu wanajiskiaje!!angekuwa binti yangu ningemla mwenyewee.
Ni kweli na hapa wanalalamika matusi sababu wameelewa vizuri lugha ila zipo ngoma za marekani zinamatusi kinoma lkn wanazikulia beat tu lugha wanatoka chafukama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki
Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
Tumia medulaChemical atasubiri Sana hapa
Swaga tu mkuu, anajifanyisha kama kapinda[emoji17] [emoji17] [emoji17]mbona domo limepinda???au ndo mnaitwa swagaaa
So unajuaga tena hatuvikubali vya nyumbani, sema ingekua nick minaj ingekua poa tu.kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki
Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani