Kumbe wabrazil walisajiliwa kwa kazi tofauti pia?

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Haya mjini story bure chakula ndio cha kulipia
Kumbe wale samba boys kutoka amerika ya kusini kazi yao haikuwa Kucheza mpira tu Bali walikuja kwa majukumu mengine tu
Wachambuzi toka Jana wanahoji inakuaje mchezaji anakaa maelfu ya mail angani aje akae bench hahaha
Kwa Leo sitasema sana ila nitasema kidogo tu
Ilidhaniwa kuwa Simba kushiriki caf ilikuwa lazima kwa hiyo kupanda ndege ilikuwa kitu cha kawaida tena private jet

Mnazijua hizi nchi vizuri? India,Pakistan na Brazil tunajua nchi hizi ni maarufu kwa vitu gani?
Safari huwa inaanzia Brazil then Pakistan ndio zigo linashuka tz then watu wanarudi mazoezini

Ila furaha yetu ni kwamba hawajafuzu movement zitapungua japo serkali kupitia tiss iwe macho na movements za Hawa wacheza samba
Hata ukichunguza sura zao zimekaa kisanii sana nilihudhuria moja ya mazoezi Hawa mabwana ni wa kawaida sana there is more than football behind closed door

Muda utaongea
 
hongera kwa kuanzisha uzi.
Haya kakojoe sasa ukalale.
 
Ukweli kwa mbaaaaaali

Bro TISS hawafanyi kazi za kutafuta sembe..bali Jeshi la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya ...ila unapoint ndio maana Patrick Aussens alishangaa kuwakuta "wahindi"kambini...alafu Manara kimya yeye anawazungumzia Kashata sorry Kahata na yule Msudan mweusi tu...
 
Mimi ni mpinzani wa Simba ila maneno kama haya Sidhani kama yana ukweli zaidi ya chuki kati yenu viongozi
 
Haya mjini story bure chakula ndio cha kulipia
Kumbe wale samba boys kutoka amerika ya kusini kazi yao haikuwa Kucheza mpira tu Bali walikuja kwa majukumu mengine tu
Wachambuzi toka Jana wanahoji inakuaje mchezaji anakaa maelfu ya mail angani aje akae bench hahaha
Kwa Leo sitasema sana ila nitasema kidogo tu
Ilidhaniwa kuwa Simba kushiriki caf ilikuwa lazima kwa hiyo kupanda ndege ilikuwa kitu cha kawaida tena private jet

Mnazijua hizi nchi vizuri? India,Pakistan na Brazil tunajua nchi hizi ni maarufu kwa vitu gani?
Safari huwa inaanzia Brazil then Pakistan ndio zigo linashuka tz then watu wanarudi mazoezini

Ila furaha yetu ni kwamba hawajafuzu movement zitapungua japo serkali kupitia tiss iwe macho na movements za Hawa wacheza samba
Hata ukichunguza sura zao zimekaa kisanii sana nilihudhuria moja ya mazoezi Hawa mabwana ni wa kawaida sana there is more than football behind closed door

Muda utaongea
wauza matikiti hao.......
 
MO angeacha kikosi kilichopita. Hiki cha sasa kajitia hasara sana natumai wabrazil wataondoka msimu ujao
 
Kile kikosi kilichokuwa kinafungwa na Kagera nje ndani. Kuimarisha kikosi si jambo baya
 
Haya mjini story bure chakula ndio cha kulipia
Kumbe wale samba boys kutoka amerika ya kusini kazi yao haikuwa Kucheza mpira tu Bali walikuja kwa majukumu mengine tu
Wachambuzi toka Jana wanahoji inakuaje mchezaji anakaa maelfu ya mail angani aje akae bench hahaha
Kwa Leo sitasema sana ila nitasema kidogo tu
Ilidhaniwa kuwa Simba kushiriki caf ilikuwa lazima kwa hiyo kupanda ndege ilikuwa kitu cha kawaida tena private jet

Mnazijua hizi nchi vizuri? India,Pakistan na Brazil tunajua nchi hizi ni maarufu kwa vitu gani?
Safari huwa inaanzia Brazil then Pakistan ndio zigo linashuka tz then watu wanarudi mazoezini

Ila furaha yetu ni kwamba hawajafuzu movement zitapungua japo serkali kupitia tiss iwe macho na movements za Hawa wacheza samba
Hata ukichunguza sura zao zimekaa kisanii sana nilihudhuria moja ya mazoezi Hawa mabwana ni wa kawaida sana there is more than football behind closed door

Muda utaongea
Daaaaaaaah akili ya mbali saaana hiii muda utaongea tu soon[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Msudani mweusi[emoji28][emoji28][emoji28]shishibobo

Back
Top Bottom