Napenda jinsi mnavyodanganyana
mmmmmhhhhh eti unabadilisha
msimamo wako kwa ajili ya mtu
mwingine.... raha kweli kweli
From the horse's mouth..do i nid to add more!
Revelation 21:8
Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili."
thread za mapenzi zinanichosha siku hizi...........lol
aisee sikujua bana
Siasa au dini itakufaa sana au wasemaje mkuuthread za mapenzi zinanichosha siku hizi...........lol
Ukistaajabu ya Musa utaona ya .......mh hiii kali wajameni.