Kumbe waganga nao wanaweza kurogwa


Kapewa adhabu na mizimu ya kwao kama mfalme Suleiman alivyo pewa adhabu na mizimu ya kwao baada ya kumuoa Betsheba binti kutoka Ethiopia Afrika..
 
Kama ni kweli umejitahidi sana kuwa mbea professional mkuu

Unatunza mfululizo wa matukio as if wewe ni mke wa pili asee
 
Sasa hapo karogwa au kavunja na masharti?
Japo ni story ya kutunga lakini kuna watu ni mabingwa wa kufuatilia maisha ya wengine A-Z huku yao yamewashinda😀
 
Ulozi pekee kwa mwanamme yeyote ni Hilo shimo tu mwanamke akijua kulitumia vizuri ataangusha Hadi milima!!nashangaa sana wanawake wanaowanyina Hilo shimo wakati ndio silaha kuu ya kufanikiwa kwao na kutumikiwa !!
 
Ila wanawake akili zenu fupi kwshiyo huyo mchuo alidhani hiyo minyama ya kafara itakuwa milele akaona amtoe mwenzie ili yeye afaidi😃😃😃
 
Uyo mganga zinaa ndio imearibu uganga wake hakuna kingine kwenye kazi za uganga umalaya ni adui mkubwa sana hii kazi haitaki uchafu
 
Mganga fake huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…