Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jul 31, 2010 #1 Inaelekea kuwa ndugu zetu waKenya walihusika kuua ndugu zetu wa Uganda :crying:, Jamani ukiona mwenzio kanyolewa.....Habari ndio hiyo: Africa Review - Kenyan trio in court over Uganda bomb attacks Source:The daily Nation.
Inaelekea kuwa ndugu zetu waKenya walihusika kuua ndugu zetu wa Uganda :crying:, Jamani ukiona mwenzio kanyolewa.....Habari ndio hiyo: Africa Review - Kenyan trio in court over Uganda bomb attacks Source:The daily Nation.
Fab JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 757 Reaction score 14 Jul 31, 2010 #2 am not suprised!from experience ya kuishi nao wakenya wana roho ngumu kweli!
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jul 31, 2010 Thread starter #3 Fab said: am not suprised!from experience ya kuishi nao wakenya wana roho ngumu kweli! Click to expand... Kama ndio hivyo, basi sioni haja ya kupeleka Jeshi Somalia ni kupoteza mda!!! Utaendaje Somalia ku-hunt Al Shaabab, wakati wanaishi Nairoberry??
Fab said: am not suprised!from experience ya kuishi nao wakenya wana roho ngumu kweli! Click to expand... Kama ndio hivyo, basi sioni haja ya kupeleka Jeshi Somalia ni kupoteza mda!!! Utaendaje Somalia ku-hunt Al Shaabab, wakati wanaishi Nairoberry??
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 Jul 31, 2010 #4 Bantugbro said: Kama ndio hivyo, basi sioni haja ya kupeleka Jeshi Somalia ni kupoteza mda!!! Utaendaje Somalia ku-hunt Al Shaabab, wakati wanaishi Nairoberry?? Click to expand... Kwani wamepeleka jeshi baada ya mlipuko?
Bantugbro said: Kama ndio hivyo, basi sioni haja ya kupeleka Jeshi Somalia ni kupoteza mda!!! Utaendaje Somalia ku-hunt Al Shaabab, wakati wanaishi Nairoberry?? Click to expand... Kwani wamepeleka jeshi baada ya mlipuko?
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jul 31, 2010 Thread starter #5 Sinkala said: Kwani wamepeleka jeshi baada ya mlipuko? Click to expand... Mkuu, baada ya milipuko, M7 na baadhi ya nchi za kiafrika wanampango wa kupeleka majeshi zaidi Somalia ili kuwamaliza Al Shabaab!, sasa kama Al Shabaab wenyewe wanaishi Nai..bi na ni raia waKenya, huoni kama itakuwa ni kazi bure?
Sinkala said: Kwani wamepeleka jeshi baada ya mlipuko? Click to expand... Mkuu, baada ya milipuko, M7 na baadhi ya nchi za kiafrika wanampango wa kupeleka majeshi zaidi Somalia ili kuwamaliza Al Shabaab!, sasa kama Al Shabaab wenyewe wanaishi Nai..bi na ni raia waKenya, huoni kama itakuwa ni kazi bure?