Kumbe wakimuona abdala kakasirika wanachanganyikiwa eeeh

Bora uishie huko huko magetoni, jichanganye kwenye daladala sasa hivi utaitwa dunga dunga
 
Dogo unaleta upumbavu kwenye nyumba za kupanga.

Subiria BUSHA linakaribia sasa.
 
Siku utakuja kuoa Kisha kipuuzi Fulani hiviiiiiiiiiii kimchezee mkeo hapo ndo utajua kama kuua huwa ni bahati mbaya ama makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…