Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imesaidia nini kwenye matokeo ya Al hilal na Yanga?Muwe mnatumia hayo maboga yenu mliyoyabeba kwa mabega vizuri.
Yanga waombe mechi ya kirafiki.Hiyo timu ni mbovu tu.
Hamna Soka huko.Hpn hii ya Leo inaitwa 1'premiero de agusto na siyo hyo yako ya namungo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
- 1st de agosto watashinda goli nyingi dhidi ya simba sc. (Kabla ya mechi, alisikika shabiki wa utopolo.
-1st de agosto, ni timu mbovu, alisikika shabiki wa utopolo(baada ya simba sc kushida 3 kwa 1).
Utopolo kubalini kujifunza kwa Simba sc ili nanyi mfanye vizuri kimataifa.
Simba 4-1 Al Hilal ni hii sio mbovuHiyo timu ni mbovu tu.