lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani kumbe Wahehe wa Iringa ndio hawa Walugulu wa pale Morogoro?! Yaani bila kuwepo Wahehe basi Walugulu wasingekuwepo daima.
Picha kamili ipo hivi;
Wakati wa Utawala wa Mjerumani pale Iringa, Wahehe wengi walikamatwa na Wajerumani na kuwa Watumwa. Hali hii ilipelekea Wahehe kukimbia kwa miguu kutoka Iringa mpaka Morogoro kwa miguu, na kwa kuwa miguu kwa Kihehe inaitwa Malugulu hivyo wakaitwa Walugulu yaani wakimbia kwa miguu au watu waliokimbia kwa miguu kwa Kiswahili, ila kwa kihehe ni Walugulu.
Na kiasilia Walugulu ni watu wenye uwezo wa kutembea umbali mrefu bila ya kuchoka.
WALUGULU NI WAKIMBIZI KUTOKA IRINGA.