lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
mkuu mimi mmasaiMkuu ukianza kuangalia sijui kabila fulani ni la majala fulani na lilianzua huko matokeo yake utajikuta hata wewe si wa hapa pengine ni Mcongo man wa Brazavile.
Kikubwa ni Umoja wetu.
Pia baadhi ya wanyakyusa ni wahehe. Kuna Mwakalinga wahehe na Mwakalinga wanyakyusa. Inasemekana kuna baadhi ya wahehe walikimbilia Tukuyu wakati wa mjerumani waka seto pande hizo.
wewe kabila gani na asili yako ni wapi?
mmasai wa manyara
kweli kabisa pia nasikia wazaramo pia ni wahehe
anhaaaa! basi ndio mana uko hivyo
huo mtiririko wa mleta mada na hiki ulichomalizia kina ukweli.....walipofika morogoro wengine wakasonga hadi pwani......
Jamani kumbe Wahehe wa Iringa ndio hawa Walugulu wa pale Morogoro?! Yaani bila kuwepo Wahehe basi Walugulu wasingekuwepo daima.
Picha kamili ipo hivi;
Wakati wa Utawala wa Mjerumani pale Iringa, Wahehe wengi walikamatwa na Wajerumani na kuwa Watumwa. Hali hii ilipelekea Wahehe kukimbia kwa miguu kutoka Iringa mpaka Morogoro kwa miguu, na kwa kuwa miguu kwa Kihehe inaitwa Malugulu hivyo wakaitwa Walugulu yaani wakimbia kwa miguu au watu waliokimbia kwa miguu kwa Kiswahili, ila kwa kihehe ni Walugulu.
Na kiasilia Walugulu ni watu wenye uwezo wa kutembea umbali mrefu bila ya kuchoka.
WALUGULU NI WAKIMBIZI KUTOKA IRINGA.
Kwa wahehe ni Kalinga kwa Wanyakyusa ni Mwakalinga.Pia baadhi ya wanyakyusa ni wahehe. Kuna Mwakalinga wahehe na Mwakalinga wanyakyusa. Inasemekana kuna baadhi ya wahehe walikimbilia Tukuyu wakati wa mjerumani waka seto pande hizo.