Kumbe wanaume nao kuna ambao ni flati screen

Kumbe wanaume nao kuna ambao ni flati screen

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Mi nilikuwa naonaga baadhi ya wanawake hawana matak☆nikadhani ni wanawake tuu ndo walivyoumbwa kumbe hata wanaume wapo yaani nimejikuta naangalia hadi nikasababisha foleni nyuma maana nilikuwa na gari hadi nikaanza kupigiwa hon kwa kushaangaa..
Yaani kapita mwanaume kuanzia miguu hadi kiuno ni mwembamba ila kuanzia juu ya mbavu zinapoishia kwenda juu hadi mabegani ni bonge la baunsa alafu kapindia mbele kidogo kapanuka mgongo mkubwa mata*o madoogo nyama za makwapani kama zimesukumia mikono nje anavyotembea sasa kila mtu alishaangaa nilishindwa kupiga picha maana hon zilizidi [emoji13] [emoji13] yaani kila nikikumbuka najikuta nacheka
 
Back
Top Bottom