Kumbe wanawake wa bongo ni wazuri sana, tena sana

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,386
Nilikua nafikiria itakuwaje hawa ma celeb wakitoa makeup au watumie makeup ya kawaida (kama sisi), watakuaje. Nimewapata ma celeb kadhaa bila makeup, wanatisha. Kumbe wanawake wa bongo ni wazuri, maana wange pata huduma kama ya maceleb hawa wangeitikisa dunia...
 

Attachments

  • na wengine wengi.jpg
    63.2 KB · Views: 283
  • Cher.jpg
    8.4 KB · Views: 331
  • Miss india.jpg
    8.5 KB · Views: 296
  • Beyonce.jpg
    7.8 KB · Views: 277
  • Jenifer lopez.jpg
    10.3 KB · Views: 256
  • Simjui.jpg
    9.6 KB · Views: 232
  • Oprah winfrey.jpg
    2.4 KB · Views: 235
  • Alicia keys.jpg
    7.6 KB · Views: 238
  • halle berry.jpg
    17.4 KB · Views: 249
  • Tyra banks.jpg
    9.6 KB · Views: 246
si mtu unaweza kupishana nao barabarani bila kuwajua aisee au ukibambana nae club usiku si utashangaa asubuhi utakapomuona pembeni yako amelala utaanza kusema uliokota mpenzi jini
 
<br />
<br />
Simjui hapo juu ni jessica simpson
 
Halle Bery na Alicia Keys wako bomba hata bila mekapu, ila Jlo ajitahidi asiziache, manake, loh!!... Wanawake wa kibongo wapo ambao bila mekap wanatisha pia, tena wengi tu!!!
 
Simjui hapo juu ni jessica simpson

Thank you J rated. Niliona nisiandike uongo wakati mi simjui. Tyra banks kaanzisha campaign ya "free from makeup" ila sijui kama tapata wafuasi kwa kweli...
 
Kiukweli wanawake wa kitz wako juu tatizo mchina ndo kaja kuharibu kila kitu
 
Kiukweli wanawake wa kitz wako juu tatizo mchina ndo kaja kuharibu kila kitu
Ah, sio wote bwana... nadhani ni wale ambao wahajiamini ndio wanaweka ma makeup ya kupindukia na wale in complete despair wanatumia dawa za mchina. Mwanamke wowote akiwa msafi na confidence haitaji vyote hivyo,
 
Ah, sio wote bwana... nadhani ni wale ambao wahajiamini ndio wanaweka ma makeup ya kupindukia na wale in complete despair wanatumia dawa za mchina. Mwanamke wowote akiwa msafi na confidence haitaji vyote hivyo,

mweleze,tupo sana ambao bado tunapaka mafuta ya nazi na bado tunatoka warembo.
sio wote wanajificha nyuma ya make ups au kupaka dawa za wachina.
BTW.hivi hizi dawa za kichina bado zipo au ni porojo tu jaman,sbb mm najua maumbo yanabadilishwa kwa operesheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…