Kumbe wanawake wote duniani walifundishwa style 1!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimejaribu kufatilia kwa wanawake wengi wote kwa makibila yote kumbe formula yao ya kulala ni moja chali!!haya mengine ni mautundu lakini for the first time lazima ananza kulalia mgongo mpaka hapo baadae umwambie to another style!!
 
wonders shall never end ww umeshapitia wangapi? ili tukubaliane na ulichoandika
 
Ar u sex machine or what? Inaonekana umewajaribu wengi sana
 
nalipenda hili jukwaa! hebu nisogee mbele nione vizuri.
 
nilishawahi kusema katika post za Erotica kuwa ninavyojua mimi ukiwa katika ndoa staili ni moja tu nayo ni KIFO CHA MENDE
 
Last edited by a moderator:
Yani hii style ni common na akuna wakubisha anayebisha basi huyo analake jambo kwani hii style imewekwa kwenye chip ya kutambua (Microprocessor) ya binadamu tangu anazaliwa wakati unaanza hii shughuli style ni hiyohiyo!!
 
nilishawahi kusema katika post za Erotica kuwa ninavyojua mimi ukiwa katika ndoa staili ni moja tu nayo ni KIFO CHA MENDE

Kweli bro, Hata mimi kwenye ndoa yangu huu mwaka wa 10 sasa huwa staili ni hiyo tu, Lakini maisha yanaenda, upendo kwa sana tu. Ila siku ninazoibia nje ya ndoa staili huwa tofauti kabisa na kifo cha mende!. Ni madoido ya kila namna. Ninapoyafanya haya manjonjo home, mwenzangu wala hayapendi. Hivyo hii mada ina kaukweli kwa sana.
 
Si ndio missionary style iyo ata kanisa inaitambua izo zingine ni kujitakia maasi tuu!
 
Sio kweli hata kidogo, inategemea na mazingira pamoja na wahusika wenyewe, wewe unataka kuniambia kama mmeanzia mambo yenu bafuni basi atalala kwa mgongo. Wewe hujaonaga wewe shauri yako.:glasses-nerdy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…