Kumbe Wanyakyusa Wanafanana sana ......

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Hawa watu wanafanana kuanzia majina hadi sura.

Davis Mwamunyange:


George Ambwene Mwakalinga aka Mtanzania:



Dr. Harrison George Mwakyembe:



George Mwakalinga mpenzi wa WEKUNDU (huyu mama yake sijui wa wapi).....


Mwakalinga walivyo wengi, DUUUU!!!!!!! Hawa chini wote ni Family??!!
http://www.facebook.com/family/Mwakalinga/1


Kwa nini msianze na nyie kuiga majina kama Makonde?

Nasikia mmoja kashajiita tayari Barack Obama na mdogo wake kampa jina la Mark Ndesadjo Obama. MWaka mmoja tu mtakuwa na sir name tofauti. Poleni sana watani wangu kwa shida ya kuchanganywa majina wakati mwingine.
 
Tutakuwekea tu hiyo ya mwakalinga. Ile ya MBA dont worry
 
Bujibuji, unaweza kurudi Pugu Road maana wengine Kinyakyusa is not richable....
 
 
Je kufanana kwao are they coming from the same district or belong to the same clan ? or cos they produce and eat almost the same type of food ?
 
kazi ipo hapo! hata wachaga nao wanafanana!
 
Sikonge na wenzako, Labda mngetueleza ni nini wanachofanana zaidi?
 
..Teh!! tehh! teeee! bhajambala ba kukajah!!! Imbombo inkafu fijo
 
Sikonge na wenzako, Labda mngetueleza ni nini wanachofanana zaidi?

Kijana, mwenye macho haambiwi tazama.

Mie niliandika zaidi kuhusu hao watatu kufanana sura na wa mwisho kufanana jina. Wote wanaanzia na MWA..... na wanapenda sana jina la George kama unavyoona hapo juu. Na mwisho, wote ni Waafrika kweli kasoro wawili watatu na kama hujasikia, huko Mbeya Mikorogo ina soko sana. Sijui kwa nini dada zao wanafikiri dunia nzima ni Wanyamwezi (weupe unaongeza mang'ombe eti).....
 
 
BwaSKonge naona umeishiwa sasa.

Usije ukasema nimefulia kama Homeboy wangu Mashaka Matongo aka Abiola.

Kufilisika si kilema, ni matatizo ya dunia (Mzee Makassy).

Mkuu, kuna mada imefichwa humo ndani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…