Kumbe wasanii wa Bongo muvi wana njaa namna hiii!

Hee ishu ni created kabisa. Hivi kwani mimi nawewe hatuwezi tukajifanya wema na wolper kwa kuedit majina kwenye phone books zetu and then tuna download pics zao google kisha tunazisevu kama prof pics zetu kwa whatsapp then tunatumiana text na ku capture screen na ku ypload facebook kutafuta ujiko? Is rubbish!
 
Watu kama mimi wanaona inaboa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…