Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
Bila shaka mko poa.
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Jana jioni wakati natoka kwenye kutafuta riziki ninaishi Mburahati karibu na hopitali ya Mianzini. kwa wenyeji kidogo maeneo hayo watanielewa.
Kuna makaburi ya wakisto mbele ya hospitali upande wa pili kuna makaburi ya waaslamu. pia kuna mkitini. sasa kuna njia panda pale.
Njia moja inaelekea hosptali, nyingine msikitini na njia nyingine inakatiza katikati ya makaburi tuseme ndo inayotenganisha makaburi ya waaslam na wakristo.
Sasa wakati nimekaribia kufika kwenye hiyo njia panda mbele yangu kutokea upande wa hospitali kuna gari aina ya harrie rangi nyeusi ikatokea upande mbele yangu sasa kwenye harakati za kuipisha si unajua njia za uswahilini mara gari likapaki. Mimi nikapita zangu natembea kama hatua kumi mbele nimeshalipita gari nasikia puu. na mbele yangu kulikuwa kuna mkaka anaelekea upande ninaotokea. Nikasikia anasema haa.
Nageuka nyuma sikuamini nilichokiona mkaka anavunja nazi. bonge la handsome kumbe watu bado wanavunja nazi njia panda?