Elections 2010 Kumbe watu hawa wanadanganyika kwa nje tu,ndani ni wanamapinduzi?

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
nipo huku vijijin kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura,nimekutana na watu wa aina mbalimbali na khojiana nao juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,moja ya maswali niliyowauliza ni kwamba:MNASADIKI AHADI ZA HIVI VYAMA VYA UPINZANI JUU YA SERA YAOP YA ELIMU NA AFYA BURE INAWEZEKANA?"JIBU:KAMA CCM WANATUPA FULANA,KOFIA,VILEMBA BURE KWANINI PANADOL YA SHILLING MIA ISIWEZEKANE?KWANI BEI YA PANADOL NI KUBWA ZAIDI YA KANGA AU FULANA?VITU VYAO TUNACHUKUA ILA WATAYAONA MATOKEO KWENYE UCHAGUZI MKUU,WAMETUFANYA MANDONDOCHA WAO KWA MUDA MREFU,INATOSHA,MWAKA HUU WATAISOMA NAMBA,"NIKAJISEMEA KIMYONI KUWA SAFARI YETU YA MAPINDUZI NA UHURU WA KWELI TUNAKARIBIA KUFIKA,KUMBE HAWA WATU MIOYO YAO IMEJAA FIKRA ZA KIMAPINDUZI
 
You are very right urasa! CCM wengi sana hawadanganyiki mwaka huu ingawa wanashinda na nguo za kijani saa zote. Kuna Mwenyekiti wa jumuia mojawapo ya CCM wilaya fulani, ni CHADEMA ile mbaya lkn saa zote amevaa kijani. Huwa naongea naye kwa mitandao karibu kila siku akinipa maendeleo ya kampeni za CHADEMA huko. Anasema wilaya hiyo karibu wote ni CHADEMA ingawa wengi kwa kificho.

Hali kama hii inaweza ikawa inapatikana sehemu nyingi sana na kwa wanaCCM wengi sana, wakiwemo viongozi.

Saa ya ukombozi halisi inakaribia. Let's cross our fingers!!
 
Don't underestimate villager. However, what is the propotional representation of that answer? Then, kupiga kura ni jambo moja, kusimamia na kulinda bila kukubali kununuliwa ni jingine
 
kama kweli watu wana mtazamo chanya kama huo...basi taifa letu tunaweza kupata maendeleo baada ya mgando wa muda mrefu sana,
pamoja tunaibadili TANZANIA kuwa nchi yenye maendeleo.:A S thumbs_up:
 
Kama kungekuwa na uchaguzi huru na wa haki 2010 ndio mwanzo wa uhuru wenyewe ila tofauti na hapo ni 2015 mambo murua.................... elimu ya uraia iko juu na itaendelea.
 
Mimi nilikutana na jamaa zangu wa TRA na Port authority wakaniambia hata wao wanalazimishwa baadhi ya maswala ila JK hawampi...wengi wao wanasema si alisema hataki za wafanyakazi basi hata wao ni wafanyakazi wacha walete maendeleo wanasema wanakusanya mapato makubwa sana na targets zimepanda ila hela zote kwenye kampeni
 
nipo huku vijijin kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura,nimekutana na watu wa aina mbalimbali na khojiana nao juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,

vijiji vipi hivyo? Ni muhimu kujua
 
hahahahaha,thats cool!!!
Tanzania WAKE UP
 
Wako wengi wanatambua ingawa hawasemi hadharani,ni wanyonge lakini hawajakata tamaa.Kura ndio mkombozi wa wanyonge.
 

Hao akina TRA si ndiyo wanafaidika na system hii ya kutofuatilia mambo? Wasitudanganye maana mtu ameajiriwa baada ya mwaka mmoja unamwona ni tajiri kupindukia, jee huo ni mshahara wake tuu?

Ikija system inayofuatilia mambo kwa karibu sana basi wao ndiyo wa kwanza kula hasara!
 
Kweli ndo huo mambo yamebadilika kila mtu ameamka ccm zimebaki tshirt tu kila mtu anataka mabadiliko
 

kauli imetolewa na watu wangapi? maana kama ni kura moja tu haitaathiri chochote na ni wapi umefanya mahojiano hayo?
 
kwani lazima iwe Tanzania nzima hao wachache c wanachukuliwa kama sample space, au ulitaka mpaka watanzania wote waseme hivyo ndo uridhike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…