Kumbe watu ni waoga wa sindano kiasi hiki...

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Nafahamu watu ambao ni waoga kweli wa sindano, lakini huyu takes the cake

Siku moja nilikua kwenye dozi ya sindano za mishipa, nimechomwa zaidi ya Mara 10 sindano inaacha mishipa. Ikapidi wanihamishie kwenye tako,. Yaalaabi Mimi nilisikia yako ni kuuubwa hafu mguu umekua mfupi, kwa Mara ya kwanza nilikua ajili ya sindano. Tens nilikua kwa sauti kubwa zaidi ya dk 5. Jamani maumivi take hayaelezeki, usiombe sindano ya mishipa ichomwe kwenye tako!
 
Hahahaha, am sorry but this is very funny

Hope you good now
 
Back
Top Bottom