Siku moja nilikua kwenye dozi ya sindano za mishipa, nimechomwa zaidi ya Mara 10 sindano inaacha mishipa. Ikapidi wanihamishie kwenye tako,. Yaalaabi Mimi nilisikia yako ni kuuubwa hafu mguu umekua mfupi, kwa Mara ya kwanza nilikua ajili ya sindano. Tens nilikua kwa sauti kubwa zaidi ya dk 5. Jamani maumivi take hayaelezeki, usiombe sindano ya mishipa ichomwe kwenye tako!