GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbe nia yenu Kuu na Juhudi zote mlizofanya Wiki nzima kabla ya kukutana na Rivers United FC leo ni kutaka tu Mashabiki wenu AKILI HAMNAZO waujaze tu Uwanja wa Mkapa ili mpige Pesa lakini siyo Kuiandaa Timu ili leo isitie Aibu kwa kutoka Suluhu ( bila Kufungana ) wakati mnaichezea Nyumbani na siyo Ugenini.
Hovyoooooooo.....!!!!!!!
Hovyoooooooo.....!!!!!!!