pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Ni kwenye fainali ya CAF 1993
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usi changanye mambo ..Mwinyi hakuwahi kuita timu yeyote kichwa cha mwendawazimu...YANGA aalishangilia sana.
WAKAANZA KUOMBA WIMBO , uzalendo umetushinda, uzalendo umetushinda.
MWINYI akatuita Tanzania kuwa ni Kichwa Cha MWENDAWAZIMU.
Huruma ya Nini?Oooh maskini hadi mnatia hurumaa
Walishangilia na maandamano juu.Uwanja wa Zamani ulikuwa Una jukwaa maarufu Sana la Wana Yanga linaitwa jukwaa la kijani ..
Yanga waliingia wakawa kimya Sana ..ilifanyika kampeni kubwa ya uzalendo....sasa kuna mchezaji wa Stella anaitwa Boli Zozo...huyu hakuwepo mechi ya kwanza hata kwenye bench...alikuwa hatari Sana akafunga bao moja...Yanga wako kimyaa...mara jamaa akafunga la pili...ndo Yanga wakalipuka "uzalendo umetushinda"....ndo chanzo cha huo msemo...wakaanza kushangilia Hadi mwisho....ndo ikawa chanzo cha timu za nje kushangiliwa zikija......
...ndo ikawa chanzo cha timu za nje kushangiliwa zikija......
We unajua huruma ya nini na ya nini?Huruma ya Nini?