Kumbe yanga walishangilia baada ya Simba kufungwa na Stella Abidjan

Uwanja wa Zamani ulikuwa Una jukwaa maarufu Sana la Wana Yanga linaitwa jukwaa la kijani ..
Yanga waliingia wakawa kimya Sana ..ilifanyika kampeni kubwa ya uzalendo....sasa kuna mchezaji wa Stella anaitwa Boli Zozo...huyu hakuwepo mechi ya kwanza hata kwenye bench...alikuwa hatari Sana akafunga bao moja...Yanga wako kimyaa...mara jamaa akafunga la pili...ndo Yanga wakalipuka "uzalendo umetushinda"....ndo chanzo cha huo msemo...wakaanza kushangilia Hadi mwisho....ndo ikawa chanzo cha timu za nje kushangiliwa zikija......
 
YANGA aalishangilia sana.
WAKAANZA KUOMBA WIMBO , uzalendo umetushinda, uzalendo umetushinda.


MWINYI akatuita Tanzania kuwa ni Kichwa Cha MWENDAWAZIMU.
Usi changanye mambo ..Mwinyi hakuwahi kuita timu yeyote kichwa cha mwendawazimu...

Mwinyi aliipongeza Taifa stars ya kina kocha Mziray waliposhinda cecafa Kenya ... akasema kuanzia sasa hatutakuwa kama kichwa cha mwendawazimu...kila kinyozi anajifunzia kunyoa.....ndo huo msemo ukashika chati kila tukifungwa..
 
Hongereni kaka zetu kwa kufukua makaburi...kumbe waasisi wa hizi kazi wapo..basi kazi iendeleee
 
Walishangilia na maandamano juu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Mtateseka sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Yanga kukosaa kombee tyuuh, kwangu rohooo kwatuuuu.
 
Mashabiki wa Simba wana fujo tangu kitambo" Kanga zachomwa moto uwanjani"

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…