Elections 2010 Kumbe yule Bashe Wa Tabora Ndo CEO Wa New Habari???

Hapo kwenye RED huo ni ushamba, kwani pm private meseji kazi yake ni nini? na vile vile ipo chat room, sasa what is the meaning of this? tuache utoto
Huu ni ushamba wa kutumia majukwaa kama haya.
 
Hili siyo jambo geni kwa Wana-CCM, wamediriki kuweka ma-CEO wao hadi kwenye magazeti ya serikali ili wapate kuandika habari za kufurahisha mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…