Kumbe Zari ni mwanamuziki?

Ila mwili, Sura ,Umbo na Tabia yake vinamlipa zaidi kuliko music....
 
Project imefanya tumfahamu na sio music. Hata wewe uliku hujui pia!
 
Alishabeba hadi tuzo ya channel o kipindi hiko hata wema sepetu hamfahamu Diamond
 
Nadhani Zari ni mmoja wa wanawake wachache wa kiganda walio wazuri. Sehemu kubwa ya wanawake wa kiganda hawavutii sana.
Ila mkuu hao watoto wamejaaliwa ushuzi wa hatari almost kama wote, but kuna wale wa kutoka kabila moja na m7 pia ni wasupuu Sana. "banyankole
 
Kumbeeee.....basi tolobaa
Umeona eeeehhhh,
Nadhani Zari ni mmoja wa wanawake wachache wa kiganda walio wazuri. Sehemu kubwa ya wanawake wa kiganda hawavutii sana.
Kuna wachache wana kama ka unyarwanda fulani hivi, warefu wembamba na wana figure namba 8 alafu wana maji.
 
Huyu lady anajua kutafuta pesa,ndio mana pesa ilipo naye yupo.
Mnyaru plus mganda huyo, ni pesa tupu. sio tu kwamba wanajua kuzitafuta, lakini pia wanajua kuzitumia. wkikushika ni lazima ufilisike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…