Kumbe Zari ni mwanamuziki?

Umeona eeeehhhh,

Kuna wachache wana kama ka unyarwanda fulani hivi, warefu wembamba na wana figure namba 8 alafu wana maji.
Wana maji??[emoji15]

Wamekuwa visima?
 
Ila mkuu hao watoto wamejaaliwa ushuzi wa hatari almost kama wote, but kuna wale wa kutoka kabila moja na m7 pia ni wasupuu Sana. "banyankole
Sawa sawa Banyankole ni branch ya watusi lazima watishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…