Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Mko sensitive sana na wabara kuliko mambo yenu ambayo yanahitaji kurekebishwa. Kila siku mnawasingizia wabara. Wabara hawana muda na ujinga ujinga wa huko kwenuWabara wamenyanyaswa wapi?
Kunyimwa kumiliki ardhi ZenjiWabara wamenyanyaswa wapi?
Kunyimwa kumiliki ardhi Zenji
Upo sahihi kwa kiwango fulani, ila unaposema wabara hawana muda wa ujinga wa Zanzibar hupo sahihi, Tatizo kuu la Zanzibar ni kubwanwa na serekali ya SMT ambayo inaongozwa na wabara, yawezekana wewe hufahamu matatizo yaliyokuwepo ndio mana ukawa unasema hayo.Mko sensitive sana na wabara kuliko mambo yenu ambayo yanahitaji kurekebishwa. Kila siku mnawasingizia wabara. Wabara hawana muda na ujinga ujinga wa huko kwenu
Hata leo hii serikali inaongozwa na Wabara, Fikra za wapi hizi!?Upo sahihi kwa kiwango fulani, ila unaposema wabara hawana muda wa ujinga wa Zanzibar hupo sahihi, Tatizo kuu la Zanzibar ni kubwanwa na serekali ya SMT ambayo inaongozwa na wabara, yawezekana wewe hufahamu matatizo yaliyokuwepo ndio mana ukawa unasema hayo.
Hata leo hii serikali inaongozwa na Wabara, Fikra za wapi hizi!?
Nani mkuu wa hayo yote uliyotaja?Serekali si mtu mmoja mkuu, serekali ni mfumo mzima wa utawala. Unaanza kwa raisi, mawaziri, wakurugenzi na makatibu, Bunge, Mahakama, vyombo vya usalama kuanzia TISS, JWTZ, TANPOL
Nani mkuu wa hayo yote uliyotaja?