lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,741
Za mchana huu wadau.
Leo nilipokuwa nikielekea kutafuta mkate wa kila siku,nilipofika kwenye duka Fulani nikasikia watu wakiongea kuwa, mkuu wa wilaya amepanga kuja kwenye kata yetu ili kuja kusikia matatizo yetu. Kwa hiyo mtendaji na diwani wamepita kwenye maduka na kukusanya sh.10,000/=kwa ajiri ya mkutano huo.
Nilibaki najiuliza kwani mikutano ya mkuu wa wilaya ni ya kikazi au in aje? Na kama niyakikazi kwani fungu la msafara wake si unagharamikiwa na ofisi yake?
Lakini pia nilijiuliza je,ni yeye ndio ameagiza wakusanye na mbona katika hutuba zake huwa hawashukuru kwa kutambua mchango wa wenye maduka.??
Kwa mtazamo wangu nimefikiri kuwa hilo ni dili la viongozi wa kata na kama anahusika kumbe ndio maana mikutano yake ni mingi.