The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Nni kaliwa kichwa? Maybe wewe ila siyo mimi baba yenuUshaliwa kichwa.
Mbona ina maandishi ya kampeni?Hiyo video ya siku nyingi nyuma. Sio tz kipindi hiki cha uchaguzi
Ni kweli Zitto haaminiki, lakini kwa hii videoclip wewe umeonesha uvivu wa kufikiri kwa sababu haina uhusiano wowote na mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Mkuu. Obviously, hii ni videoclip ya zamani.Sitii neno.
Naleta kama ilivyo.
Najua Zitto Kabwa yumo humu.
Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.
Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?
Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?
Je, amelishwa kitu?
Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa CCM B?
Maswali ni mengi kuliko majibu.;
Sikiliza mwenyewe uamue.
View: https://youtube.com/shorts/S8Bz1HLqaxc?si=xFK269yu406ruwr9
Ndio unajua leo hata jaji aliyeamua kesi yake ni simu moja tuu ndio imepigwaSitii neno.
Naleta kama ilivyo.
Najua Zitto Kabwa yumo humu.
Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.
Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?
Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?
Je, amelishwa kitu?
Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa CCM B?
Maswali ni mengi kuliko majibu.;
Sikiliza mwenyewe uamue.
View: https://youtube.com/shorts/S8Bz1HLqaxc?si=xFK269yu406ruwr9
Sitii neno.

Poa ila ujumbe umefika barabara na ukiona hivi, ujue imekuingia barabara.Ni kweli Zitto haaminiki, lakini kwa hii videoclip wewe umeonesha uvivu wa kufikiri kwa sababu haina uhusiano wowote na mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Mkuu. Obviously, hii ni videoclip ya zamani.
Yaani ukimwamini Zito kwenye struggle yoyote, ujue umepotea. unaweza hata kuishia kufungwa.Zitto alipewa project na kikwete aanzishe act