G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Sep 14, 2025 #41 Mkulima said: Hiyo video ya siku nyingi nyuma. Sio tz kipindi hiki cha uchaguzi Click to expand... Haijalishi mkuu, ujumbe wake uko wazi...wana kigoma wamuunge mkono sa100!. Zito ni snich!
Mkulima said: Hiyo video ya siku nyingi nyuma. Sio tz kipindi hiki cha uchaguzi Click to expand... Haijalishi mkuu, ujumbe wake uko wazi...wana kigoma wamuunge mkono sa100!. Zito ni snich!
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Sep 14, 2025 #42 CHADEMA mna kazi ngumu sana. Mnagombana wenyewe kwa wenyewe bado tena Zitto... mkishtuka ni mwaka 3000
CHADEMA mna kazi ngumu sana. Mnagombana wenyewe kwa wenyewe bado tena Zitto... mkishtuka ni mwaka 3000
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Sep 14, 2025 #43 Mmechelewa kumjua
E Extra focus JF-Expert Member Joined Mar 28, 2021 Posts 662 Reaction score 1,297 Sep 14, 2025 #44 Teknocrat said: Yaani hapa umewakilisha akili ya wabongo asilimia 90% Kila wanachoona mitandaoni wanaamini ni cha kweli... Click to expand... Sawa mkuu
Teknocrat said: Yaani hapa umewakilisha akili ya wabongo asilimia 90% Kila wanachoona mitandaoni wanaamini ni cha kweli... Click to expand... Sawa mkuu