Kumbuka kila wakati kuwa matumizi yako ni mapato kwa mtu mwingine, watu ambao wako nje ya udhibiti wa mtiririko wa pesa zao wanafanya watu wanaosimamia mtiririko wa pesa zao kuwa matajiri.
Je umeshawahi kufikiria kuanzisha mfumo wa biashara ? Ndio ni business system.
Unaweza kujifunza pia kuhusu business system kwenye vyanzo mbali mbali.