Kumbuka kufunga kioo cha Kifaa chako kama Simu au Laptop kama hutumii

Kumbuka kufunga kioo cha Kifaa chako kama Simu au Laptop kama hutumii

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
1728309772463.png

1. Hakikisha Kompyuta au simu yako inajifunga Kioo (Lock Screen) muda mchache ikikaa bila matumizi ili kuzuia mtu kutumia bila ruhusa

2. Ikiwa unahifadhi Taarifa Nyeti kwenye ‘flash drive’ au ‘External Disk Drive’ hakikisha zimefungwa na kuhifadhiwa mahali salama

Kwa kufanya hivi ni njia mojawapo ya namna ya kulinda taarifa zako binafsi dhidi ya Wadukuzi.

Iwapo hutazima kifaa chako taarifa zako binafsi zinaweza kuangukia katika mikono isiyo salama na kuzitumia kufanya vitendo vya kihalifu, kudukuliwa na taarifa zako zinaweza kutumika vibaya kama kuiba utambulisho na kupunguza faragha na siri zako.

Soma Pia: Umewahi Kukagua kama Simu au Kompyuta yako kama ina “Virus”?
 
Back
Top Bottom