MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Ndugu zanguni hali Sasa watu wamejiziuka sana eti chanjo,waliochanja ndio wanaombukiza sana na wengi wanaugua mafua ya hapa na pale lakini kwa kuwa Kinga ya miili yetu ni zaidi kuliko wale jamaa wanaohamasisha chanjo hivyo mjitahidi zile mbinu za kuepuka kuambukizwa kunawa kwa sabuni, sanitizers,barakoa ukiona mtu anapiga chafya sogea mbali kabisa
Tumtegemee Mungu daima
Tumtegemee Mungu daima