Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

Ng'ombe nilichunga mwaka 60-62 mwanzoni niliooenda middle school mwaka 1963 nilichunga sikuchunga tena
Wakati huo Wakudadavua alikua anakamua maziwa ya ng’ombe kwao, mjini hajafika.
 
Pengine alishafanya yake kwa mheshimiwa balozi mteule.😄😄😄
 
Wasukuma hii picha itawatoa povu balaa manake ni wajinga sana. Povuuuuu
 
Hivi airtel wana shida gani aisee.... nilinunua line yao ila nikaitipa...yaani kupiga simu tu ni ishu, simu hazitoki. Wanaotumia huo mtandao wana moyo wa uvumilivu sana.
Tatizo itakua mwekezaji namba moja (serikali ya Tz)..huyu auze hisa zote ,mchangowake itakua hafifu
 
Mbowe amewaandaa watu wengi sana ukiwemo wewe mleta mada!
Kweli aisee dunia iko kisanii sanii tu. Fulahia Matatizo naye anatarajiwa akitoke poni industry kwa mkuu wetu.wako vzr mbona kidoa anafanya safi tu
 
I hope huyo binti aliopona kwa DJ. manake yale macho yake ya malyenge hadi covid 19 wamelalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…