Kumbukizi: Hussein Bashe ajibu waraka wa Kinana na Makamba, Je atajibu tena hoja za Polepole?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
314
Reaction score
950
Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amefanya mahojiano maalum na Azam TV 17 Jul 2019 na kuzungumzia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari kwenye medani za siasa la waraka ulioandikwa na makatibu wakuu wastaafu wa CCM Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba.
Your browser is not able to display this video.
 
Haya mambo yanakuwa yako programmed kama sio jukumu lake hutomuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…