Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
kama siyo Mungu tungelikuwa wapi watanzania wenzangu? Jehanamu tunatumbukia kama hao chiniNawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini.
Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
View attachment 2483828
his name shall survivekama siyo Mungu tungelikuwa wapi watanzania wenzangu? Jehanamu tunatumbukia kama hao chini
Hatari sanakama siyo Mungu tungelikuwa wapi watanzania wenzangu? Jehanamu tunatumbukia kama hao chini
kwa mauaji aliyoyafanya kwa watanzania. Azory, Ben, MKIRU, Cococ beach sandarusi and many many others!his name shall survive
Mtu binafsi aliingiza ili avipeleke wapi huku reli Tanzania inaendeshwa kwa mfumo wa monopoly?Tuwekee sawa taarifa yako! Aliokota kwa namna gani? TRL ambao ndiyo wenye shirika havikuwa vyao ama? Au kuna mtu binafsi aliingiza hivyo vichwa ila hakutaka kujitokeza?
Kwani ile Clip ya mwakyembe akiwa na yule jamaa mmarekani wakisaini mkataba wa kuingiza treni hukuiona?Mtu binafsi aliingiza ili avipeleke wapi huku reli Tanzania inaendeshwa kwa mfumo wa monopoly?
Nawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini.
Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
View attachment 2483828
[emoji38][emoji38][emoji38]Nawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini.
Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
View attachment 2483828
Ita survive kwenu huko gamboshihis name shall survive
Alishawaroga kitambo, so huwaambii kitu kuhusu JiweIta survive kwenu huko gamboshi
🤣🤣🤣watu wana bahati sanaNawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini.
Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
View attachment 2483828
Zali la mtende🤣🤣🤣watu wana bahati sana
Tutafika mbinguni tuko hoi bin taabaniNawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini.
Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
View attachment 2483828