Ulipaswa useme hicho kilichobadilika vinginevyo ni kumdhalilisha Prof. Lipumba.Wakuu,
Mambo yanabadilika sana
Huyu hapa Profesa Lipumba akiwa anamsifia na kumwimbia Rais Samia kwenye ziara ambayo Samia aliyoifanya mwaka 2022 mkoani Tabora
Yes,Wakuu,
Mambo yanabadilika sana
Huyu hapa Profesa Lipumba akiwa anamsifia na kumwimbia Rais Samia kwenye ziara ambayo Samia aliyoifanya mwaka 2022 mkoani Tabora
Chizi karogwa tenaYes,
ni vizuri kusema ukweli na kumpongeza anaefanya vizuri na mambo yanaonekana mchana kweupe.
Lipumba hakua mnafi hata kidogo.
au ubaya wake nini hapo anaposema ukweli?